10 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Chuo kikuu Dar waelezea kifo cha mwanafunzi aliyefia bwawani
 
2008-05-10 18:10:04
Na ITV Habari

Uongozi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam umesema taarifa zilizopo chuoni hapo zinaonyesha mwanafunzi Deogratias Dominick alikufa katika bwawa la kuogelea chuoni hapo wakati wa vurugu zilizokuwa zimetokea chuoni siku ya tarehe 22 mwezi Februari mwaka huu.

Akizungumza na ITV ofisini kwake makamu mkuu wa chuo mipango fedha na utawala profesa Yunus Mgaya amesema ripoti ya ukaguzi wa awali wa mwili wa marehemu imeonyesha kwamba mwanafunzi huyo alikufa kabla ya kufikishwa hospitali na hakuwa na jeraha sehemu yoyote ya mwili wake.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.