|
China yaisaidia Tanzania kompyuta 15
2008-05-08 14:38:41
Na ITV Habari
Serikali ya China imetoa msaada wa kompyuta kumi na tano zenye thamani ya dola elfu 50 za kimarekani kwa serikali ya Tanzania.
Akikabidhi msaada huo balozi wa China hapa nchini Bwana Liu Xinsheng amesema msaada huo unalenga kufanikisha ustawi wa utawala bora katika ofisi za serikali nchini.
|