06 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

SCUULT watoa kiasi cha shilingi milioni 700
 
2008-05-06 15:26:43
Na ITV Habari

Shirikisho la vyama vya akiba na mikopo SCUULT limefanikiwa kutoa kiasi cha shilingi milioni mia saba ikiwa ni utekelezaji wa programu ya utoaji wa mikopo kwa mikoa mbalimbali inayopatiwa fedha za uwezeshaji zilizotengwa na serikali kwa ajili ya kukopesha wajasiriamali.

Hayo yameelezwa na afisa masoko wa SCUULT Bw. Florian Haule wakati akitoa tathmini ya utoaji wa fedha hizo za uwezeshaji ambazo SCUULT ni miongoni mwa asasi zilizochaguliwa katika kusaidia ukopeshaji wa mabilioni ya fedha za uwezeshaji wananchi yanayotolewa na serikali.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.