06 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Tumieni fursa ya EU wajasiriamali wasindikaji-Naiko
 
2008-05-06 15:25:56
Na ITV Habari

Watanzania wametakiwa kutumia fursa inayotolewa na jumuiya ya Ulaya ya kutafuta wajasiriamali wasindikaji katika sekta ya kilimo ili kufanya nao biashara katika sekta mbalimbali hapa nchini na Afrika kwa ujumla kupitia mkutano mkubwa wa wastani wa wafanya biashara 500 kutoka nchi za Afrika na Ulaya utakaofanyika hapa nchini kuingia ubia katika usindikaji mazao ya kilimo.

Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji nchini-TIC Emanuel Ole Naiko amesema hayo wakati akitoa hotuba ya ukaribisho kwa ujumbe wa wafanyabiashara kutoka jumuiya ya Ulaya na Wafanyabiashara na makampuni kutoka Afrika ambao wanakutana kubadilishana uzoefu na kufanya biashara na makampuni ya Afrika.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.