08 Feb 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Hubert Kairuki inaendelea na zoezi la kupima kansa ya shingo ya uzazi
 
2008-02-08 12:21:38
Na ITV Habari

Taasisi ya afya na tiba ya Hubert Kairuki ya Mikocheni jijini Dar es Salaam imeendesha zoezi la kupima kansa ya shingo ya uzazi kwa kina na bila malipo kama sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka tisa ya kifo cha muasisi wa hospitali hiyo Prof. Hurbert Kairuki.

Akizungumza katika zoezi hilo mjane wa marehemu na mwenyekiti wa bodi ya taasi hiyo Bibi Kokushubira Kairuki, amesema taasisi pia inafanya maonyesho mbalimbali ya masomo ya tiba.

  • SOURCE: ITV
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.