02 Feb 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Sportsnews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Taifa Stars kukutana na timu kutoka Malawi
 
2008-02-02 11:39:30
By ITV Habari

Timu ya soka ya taifa ya Malawi inatarajiwa kuwasili nchini kesho kwa ajili ya mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania- Taifa Stars, mechi itakayopigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania- TFF, Florian Kaijage amesema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumzia ujio wa timu hiyo.

Aidha ametangaza kuongezwa kwa wachezaji wawili Godfrey Boniface na Juma Jabu katika kikosi cha Taifa Stars.

  • SOURCE: ITV
TODAY
-----------------------------------------------
Editorial
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.