|
Umuhimu wa hitaji kwa wakulima ya kuwa na miundombinu bora ya kupata maji
2008-05-17 14:54:42
Na EAR Habari
Juhudi za kimataifa za kuinua maendeleo ya kilimo ili kukabiliana na kupanda bei kwa chakula hakutafanikiwa ikiwa upatikanaji wa maji katika Africa hautaboreshwa.
Kauli hiyo imetolewa makao makuu ya umoja wa mataifa jijini New York nchini Marekani baada ya mkutano wa siku tatu wa mawaziri wa Kilimo, maji ardhi na mazingira kutoka nchi mbali mbali duniani.
Waziri wa mauala ya maji nchini Africa kusini Lindiwe Hendricks aliuambia mkutano huo umuhimu wa hitaji kwa wakulima ya kuwa na miundombinu bora ya kupata maji.
|