17 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Serikali ya Burma ina hatia dhidi ya kukataa kuruhusu misaada kuingia nchini humo
 
2008-05-17 14:52:49
Na EAR Habari

Waziri mkuu wa Uingereza Gordon Brown amesema kwa serikali ya Burma ina hatia dhidi ya utu baada ya kukataa kuruhusu misaada kuingia nchini humo kufutia nchi hiyi kukumbwa na kimbunga Nargis.

Waziri mkuu amasema mkasa huo umegeuka na kuwa janga lililotengenezwa na wanadamu na hivyo utawala huo wa kijeshi unatakiwa kuwajibika kwa uzembe.

Shuguma zimongezeka dhidi ya serikali ya nchi hiyuo kwa jinsi ilivyoshughulikia janga hilo mapema mwezi huu na kusababisha vifo vya watu 78,000.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.