|
Paka asababisha giza katika mji wa Tarana nchini Albanian
2008-05-17 14:50:03
Na EAR Habari
Nchini Albanian katika mji wa Tarana paka aliyekuwa akimfuza panya katika kituo kikuu cha umeme alisababisha giza katika sehemu ya mji huo kwa masaa 72.
Msemaji wa kampuni ya umeme nchini humo amesema kuwa paka na panya waliingia katika nyaya zinazobeba umeme wenye nguvu wakati picha katika kituo hicho zikonesha kunaswa kwa mnyama.
Wanainchi wa nchi hiyo wamelalamikia kukatika kwa umeme mara kwa mara kwa kipindi cha miongo mingi huku ukame na enzi za kikomonisti kukipewa lawama.
|