16 May 2008 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Rais Kikwete ametaka mazungumzo kati ya vyama vya CUF na CCM kupatakana muafaka
 
2008-05-16 15:34:15
Na EAR Habari

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania ametaka mazungumzo kati ya vyama vya CUF na CCM ili kupatakana muafaka kuendelea na majadiliano hayo ambayo anaamini kuwa yatazaa matunda mazuri kwa mustakabari wa Tanzania.

Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu,inasema rais alitoa kauli hiyo alipokuwa na majadiliano na waziri wa nchi wa Ufaransa anayeshughulikia nchi zinazozungumza kifaransa, kuwa tofauti iliyojitokeza ni namna ya utekelezaji wa muafaka huo.

Rais Kikwete amesema kuwa uamuzi wa kuwa na serikali shirikishi Zanzibar ulichukuliwa miaka saba iliyopita, wakati wa majadiliano yaliyozaa muafaka wa kwanza kati ya CCM na CUF.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.