Thursday Aug 21, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Sera Ya Huduma Ya Afya Kwa Wazee Itekelezwe Kwa Vitendo

Wazee nchini wamekuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi zikiwamo za kukosa uhakika wa kupata huduma za afya kila wanapoumwa. Licha ya kuwapo kwa sera na mipango kadhaa mizuri ya serikali katika kuwahudumia wazee, bado hali inaonekana kuwa ngumu kwao Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Serikali yashauriwa iruhusu walimu watumie mitandao kufundishia. Je unaunga mkono?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Chadema iwafunde `mabaunsa` wake wasiwabughudhi waandishi
MTAZAMO YAKINIFU: Katiba Mpya:Vyombo vya habari vinapogeuzwa adui
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini sadaka uliyopewa iishie kwenye pombe?
Watoto wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wakionyesha vidonda kwenye mikono yao ambavyo vinatokana na kuchomwa moto na baba ya mzazi nyumbani kwao Mbagala Kibondemaji jijini Dar es Salaam jana. Picha/ Omar Fungo

Unyama wa mzazi

Vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyofanywa na baadhi ya wazazi, vimezidi kukithiri nchini baada ya watoto wawili kudaiwa kuchomwa moto mikono na baba yao kwa kutumia tambi za jiko jijini Dar es Salaam Habari Kamili

Biashara »

Wajasiriamali Walalamika `Kubaniwa`

Baadhi ya wajasiriamali wa jiji la Tanga wameilalamikia Wizara ya Kazi na Ajira kutowapa  fursa ya kushiriki maonyesho mbalimbali ya bidhaa yanayofanyika ndani na nje ya nchi na badala yake nafasi hizo zimekuwa zikitolewa kwa wingi kwa wafanyabiashara kutoka jiji la Dar es Salaam Habari Kamili

Michezo »

Simba, Yanga Kuumana Oktoba 12

Watani wa jadi Simba na Yanga watakutana mapema katika raundi ya nne ya ligi Oktoba 12 mwaka huu, kwa mujibu wa ratiba ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2014-15 iliyotolewa jana na shirikisho la soka nchini (TFF) Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»