Kamati ya Operesheni Ushindi ya timu ya taifa ya soka ilitoa "hamasa" ya sh. milioni 30 kwa Taifa Stars katikati ya wiki, kwa ajili ya mechi ya Juni 8 ya michuano ya awali ya Kombe la Dunia dhidi ya Morocco Habari Kamili
Familia ya Mariam Abdllah,Mkazi wa mtaa wa Mtawike,kata ya Magomeni Mtwara,ikiwa chini ya baada ya nyumba yao kuteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana katika ghasia zilizozuka ambapo baadhi ya wanachi wanapinga kusafirishwa kwa gesi asilia kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam.
Vurugu Mtwara:Kashfa nzito polisi
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara, limeingia katika kashfa ya matumizi makubwa ya nguvu kwa kufanya vitendo vya udhalilishaji na kuua raia kwa risasi Habari Kamili
Biashara »
NBC Kuanzisha Huduma Za Mikopo Kwa Wafanyakazi
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kitengo chake cha huduma za kibenki zinazofuata kanuni za kifedha za Kiislamu inatarajia kuanzisha huduma ya mikopo kwa wafanyakazi (Islamic Group Finance) kabla ya Septemba mwaka huu Habari Kamili
Kiungo nyota wa mabingwa wapya wa soka nchini Yanga, Haruna Niyonzima, amesema Simba ilimshawishi kujiunga nayo kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Bara lakini akaitolea nje klabu hiyo Habari Kamili
Namna bora ya kuwavutia wateja: Tangu Esther Emmanuel (29) afungue biashara yake ya duka la urembo na nguo za wanawake (boutique) miezi mitano iliyopita
Wanaoafiki waseme ndiyo, ndiyoooooooooooo: Kwa muda mrefu sasa, wananchi nchini nikiwamo mimi, wamekuwa wakishangazwa na baadhi ya wabunge wanaotoa michango na maoni