Ligi kuu ya Bara inafika tamati leo kwa timu tatu za Mgambo JKT, Polisi Morogoro na Toto African kugombea nafasi moja iliyopo bado ya kubaki kwenye daraja hilo la juu zaidi nchini msimu ujao Habari Kamili
MTAZAMO YAKINIFU: Uozo sekta ya elimu: Haitoshi kurekebisha matokeo
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara DCB Edmundi Mkwawa(kulia) akimsikiliza mganga mfawidhi hospitali ya Mwananyamala Sophinia Ngonyani akimuelezea namna mashine ya Oxygen inavyofanya kazi mara baada ya Mkurugenzi huyo kukabidhi mashine mpya ya kisasa ya kupumulia kwa watoto katika hospitali hiyo, makabidhiano hayo yalifanyika jana, katikati ni meneja mkuu wa biashara Fares Muganda
MGOGORO WA GESI:Mtwara balaa tupu
Sakata la kupinga kusafirishwa gesi asilia ikiwa ghafi kutoka mkoani Mtwara kwenda jijini Dar es salaam, limeibuka na kuzua balaa, huku hofu ikitanda kiasi cha baadhi wakazi wake kujifungia ndani kutwa nzima Habari Kamili
Biashara »
Mnyika:Sera Ya Mafuta Na Gesi Iandaliwe Kwanza
Serikali imeshauriwa kuandaa sera ya mafuta na gesi kabla ya kuandaa sera ya sekta ndogo ya gesi ili kuilinda rasilimali hiyo iweze kuwanufaisha Watanzania Habari Kamili
ILI KUMUENZI MAFISANGO LEO:Simba Waomba Kuvaa Vitambaa Vyeusi
Wachezaji wa Simba wameomba leo kuvaa kitambaa cheusi mkononi katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Bara dhidi ya Yanga kwa lengo la kumkumbuka aliyekuwa kiungo tegemezi wa timu hiyo marehemu Patrick Mafisango Habari Kamili
Nini tafsiri ya ndoto hii?: Naota nipo mitaa ya Mwitongo kule Butiama alipozaliwa na kuzikwa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Najihisi
Wenye dhamana wanachochea ajali!: Tutawapasha tu, potelea mbali! Kwani mlitaka tufiche ukweli kuhusu hali halisi, kuhusu kinachosababisha ongezeko la ajali