Wednesday Dec 17, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Pinda,Ghasia Wajibikeni

Tathmini mbalimbali zimetolewa juu ya mchakato mzima wa uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji uliofanyika Jumapili Desemba 14, mwaka huu. Ukiachilia mbali vurugu  na matumizi ya nguvu za dola, uchaguzi huo ulikuwa na dosari kubwa ambayo imesababisha wilaya tatu na kata 127 kushindwa kufanya uchaguzi Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, Watanzania tumejizatiti kukomesha wizi wa mali za umma?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Matokeo haya `yaifumbue macho`CCM
NYUMA YA PAZIA: Hujuma dhidi ya uchaguzi hazijibu shida za wananchi
MTAZAMO YAKINIFU: Wanyonge wanapolishwa kauli na wenye nguvu
Wafanyabiashara wakiuza mitumba karibu na mitambo ya kufua umeme ya Ubungo jijini Dar es Salaam jana. Licha ya Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam kuwafukuza wafanyabiashara hao eneo hilo kwa sababu za usalama, wamerudi kwa kasi kubwa.PICHA TRYPHONE MWEJI

Escrow yamng`oa Werema

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, amejiuzulu.Jaji Werema amelazimika kujiuzulu kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa makundi kadhaa ya jamii na ushauri wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Rais Jakaya Kikwete, kutaka amfute kazi kutokana na kuhusishwa kwake na kashfa ya wizi wa zaidi ya Sh Habari Kamili

Biashara »

Kampuni Ya Uchimbaji Barrick Yabadili Jina

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia,  imehamishia makao yake makuu  nchini kutoka Afrika Kusini. Hayo yalisemwa jana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo ambayo zamani ilikuwa ikijulikana kama African Barrick Gold (ABG), Brad Gordon wakati akitambulisha jina hilo jipya la Acacia kwa  viongozi wa wilaya na vijiji  vilivyopo  Kahama na Nyang’whale mkoani Shinyanga katika mkutano uliofanyika kwenye mgodi wa Bulyanhulu wilayani Kahama Habari Kamili

Michezo »

Mtani Jembe Yamtimua Maximo

Wakati Mholanzi Hans van der Pluijm amewasili nchini usiku wa kuamkia jana kwa ajili ya kuinoa Yanga, Kocha Mbrazil Márcio Máximo na msaidizi wake Leonardo Neiva wameiaga timu hiyo ya Jangwani baada ya kutupiwa virago Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»