Wednesday May 22, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Search IPPmedia

Maiti zaidi wa MV. Skagit wapatikana

23rd July 2012
Print
Comments
Naibu Waziri wa Miundo Mbinu na Mawasilisno Zanzibar, Issa Haji Gavu,

Wakati  zoezi la kutafuta meli iliyozama ya MV Skagit likiwa limesitishwa kutokana na uhaba wa vifaa, idadi ya maiti waliopatikana imeongezeka hadi kufikia 76 baada ya nyingine nane kuokotwa baharini Zanzibar.

Maiti hizo zilipatikana jana baada ya kukutwa  wavuvi zikiwa zimeharibika kwenye maeneo ya Mwambao wa Bahari ya Hindi katika Kisiwa cha Chumbe maili sita kutoka ilipo Bandari ya Malindi Zanzibar.

Naibu Waziri wa Miundo Mbinu na Mawasilisno Zanzibar, Issa Haji Gavu, alithibitisha kupatikana kwa maiti hizo na kuzikwa katika Makaburi ya Kama visiwani hapa.

SOURCE: NIPASHE
0 Comments | Be the first to comment