Sunday Sep 21, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Uhusiano Wa Waandishi Na Wanausalama Uimarishwe

Vyombo vya habari ni moja ya nguzo muhimu inayoweza kuimarisha demokrasia, kuunganisha jamii,  kudumisha amani, kuelimisha umma, kuhamasisha maendeleo na mengineyo Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Serikali ya Tanganyika yaibuka tena Bungeni. Je, unaunga mkono kuwepo kwa serikali ya Tanganyika?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Ana haraka nimuoe wakati mimi nasaka digrii!
ACHA NIPAYUKE: Polisi wanaposhindwa `kuguswa` na damu ya Daudi Mwangosi
HEKIMA ZA MLEVI WA CANADA: Mlevi alipochonga na mzee Mchonga
Mmoja wa waathirika wa mabomu ya Mbagala, Teresia Komba (64), ambaye ameathirika miguu yake na milipuko hiyo akihudhuria mkutano ulioitishwa na kamati ya wakazi hao ya ufuatiliaji wa malalamiko yao ya kupunjwa malipo ya fidia iliyotolewa na serikali jijini Dar es Salaam jana.

Maandamano Chadema yazimwa mikoani

Jiji la Arusha jana lilikumbwa na taharuki kufuatia askari polisi kuzingira barabara na maeneo kadhaa ya jiji hilo baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuendelea na maandamano hayo licha ya kuzuiwa na polisi Habari Kamili

Biashara »

Mbeya Washauriwa Kutumia Vema Fursa Zinazowazunguka

Mlezi na mshauri wa asasi ndogo ndogo la kifedha (Vicoba) mkoani Mbeya, Dk. Stephen Mwakajumilo, amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujitegemea kiuchumi na kuacha kutegemea wafadhili Habari Kamili

Michezo »

Yanga, Maximo, Jaja Waanza Vibaya Moro

Bundi anayeiwangia Yanga kila inapokutana na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri jana aliendelea kuichuria timu hiyo ya Dar es Salaam, ilipofungwa 2-0 na wenyeji katika mechi ya ligi kuu ya Bara hapa Morogoro Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»