Tuesday Oct 21, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Asitafutwe Mchawi Matokeo Simba, Yanga

Miamba ya soka nchini, Simba na Yanga Jumamosi Oktoba 18, mwaka huu zilitoka sare tasa katika mechi ya Ligi Kuu Bara raundi ya nne iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Baba wa Taifa. Je, viongozi wetu wanamuenzi kwa vitendo?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini mke au mume amwibie mwenzake mfukoni akiwa amelala?
ACHA NIPAYUKE: CCM, warejeeni, wasikilizeni `wazee wa chama`
MTAZAMO YAKINIFU: Busara itumike kupata Katiba Mpya
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad) akihutubia mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake, Pemba, mwishoni mwa wiki iliyopita.

Serikali yakalia trilioni 8.4/- za PSPF, NSSF, PPF

Madeni sugu ya serikali yanatishia uhai wa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini huku Mamlaka ya Usimamizi ya Mifuko hiyo ( SSRA) ikitoa angalizo kwa serikali kuhusiana na hali hiyo kufuatia kuidai Sh Habari Kamili

Biashara »

Wataka Kuwapo Ushindani Wa Haki Katika Soko La Saruji

Serikali imeombwa kuwa makini na kuhakikisha kuna ushindani wa haki katika soko la saruji nchini na kuwa hakuna wazalishaji watakaotumia mbinu chafu katika kuendesha biashara ya saruji Habari Kamili

Michezo »

Maximo: Tumeiweka Simba Kiporo

Baada ya timu yake kutoka suluhu na watani zao Simba katika mechi ya mzunguko wa kwanza ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema wamewaweka 'kiporo' Wekundu wa Msimbazi Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»