Mshambuliaji wa Azam, Mrisho Ngasa, aliyekuwa akiitumikia klabu ya Simba kwa mkopo, na ambaye mkataba wake na Azam unamalizika leo, amesema kwamba ameamua kurejea kwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Yanga kwa sababu ndiyo klabu anayoipenda na kwamba kwingine alikuwa akienda kutafuta riziki kama mchezaji
Habari Kamili