Tuesday Aug 19, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Udhibiti Dhidi Ya Ebola Mipakani Uongezwe

Ugonjwa  wa ebola umeendelea kuzusha hofu kubwa barani Afrika. Watu zaidi ya 1,000 wameshapoteza maisha yao kutokana na ugonjwa huo hadi kufikia wiki hii na pia, wapo wengine wa idadi kama hiyo wangali wakiuguzwa katika maeneo tofauti barani, hasa kwenye nchi za ukanda wa Afrika Magharibi Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Serikali yashauriwa iruhusu walimu watumie mitandao kufundishia. Je unaunga mkono?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Katiba Mpya:Vyombo vya habari vinapogeuzwa adui
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini sadaka uliyopewa iishie kwenye pombe?
ACHA NIPAYUKE: Unapoibuka `Ukawa` ndani ya Bunge la Katiba!
Baadhi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wakiandamana kuelekea ofisi za Umoja wa Ulaya (EU), jijini Dar es Salaam jana, wakipinga kuongezeka kwa mauaji na vitendo vya kikatili dhidi ya watu wenye ulemavu nchini. PICHA: TRYPHONE MWEJI

CCM yajipa mtihani

Kelele ambazo zimepazwa na watu wa kada mbalimbali nchini dhidi ya mchakato wa Katiba mpya zimeifanya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukutana kwa dharura, huku kukiwa na taarifa ndani ya chama hicho kuwa kuna hoja zinazokinzana juu ya kuendelea au kusitishwa kwa muda kwa Bunge Maalum la Katiba Habari Kamili

Biashara »

Wafanyabiashara Mwanza Watishia Kuanza Mgomo

Zaidi ya wafanyabiashara 600 wakubwa na kati wa jijini hapa, wametangaza mgomo mkubwa usio na kikomo unaotarajiwa kuanza kesho ukiwa na lengo la kupinga kodi lukuki pamoja na mizigo yao kukamatwa na Halmashauri ya Jiji Habari Kamili

Michezo »

Hivi Ndivyo Simba, Yanga Zinavyoibiwa

Wakati klabu kongwe za soka nchini Simba na Yanga zikihaha kupata fedha za kujiendesha hadi kufikia hatua ya kutembeza bakuli na kuwapigia magoti watu wanaoitwa wafadhili, wapo vigogo wenye uhusiano nazo wanaoneemeka kwa kuingiza mabilioni ya shilingi kwa uuzaji wa jezi na vifaa vingine vyenye nembo zake Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»