Monday May 27, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Mfumo Alioanzisha Rais JK Kuwajibisha Mawaziri Upunguze Kero Za Wananchi

Kumekuwepo na malalamiko ya kila wakati kutoka kwa wananchi yanayohusu utendaji na ufanisi wa Serikali kwa baadhi ya wizara ambazo huduma zake zina uhusiano wa moja kwa moja kwa wananchi, huduma ambazo mara nyingi zinahitajika katika maisha yao ya kila siku ikiwemo umeme, elimu, maji, chakula, usafiri pamoja na fedha Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Getting poll results. Please wait...

Safu »

ACHA NIPAYUKE: Kwa heri Maghembe, naitazama Tanzania
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA: Sumatra haina nia njema, usafiri Dar haufai!
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini dharau huanza baada ya familia kuneemeka?
Fadina Salum akiwa amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula mkoani Mtwara akiuguza majeraha ya risasi kufuatia fujo zilizozuka hivi karibuni.(Picha na Khalfan Said)

VURUGU MTWARA: Majeruhi walipigwa risasi

Wakati hali ya utulivu na amani ikielezwa kuwa imeanza kurejea katika mkoa wa Mtwara, imedaiwa kuwepo idadi kubwa ya majeruhi wa risasi waliolazwa katika hospitali ya mkoa wa Mtwara Habari Kamili

Biashara »

NBC Kuanzisha Huduma Za Mikopo Kwa Wafanyakazi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kitengo chake cha huduma za kibenki zinazofuata kanuni za kifedha za Kiislamu inatarajia kuanzisha huduma ya mikopo kwa wafanyakazi (Islamic Group Finance)  kabla ya Septemba mwaka huu Habari Kamili

Michezo »

Yanga Yamnyakua Amri Kiemba

Siku chache baada ya klabu ya Yanga kupeleka majonzi ya usajili kwa watani wao wa jadi Simba kwa kumsajili winga Mrisho Ngasa na kumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake, Haruna Niyonzima, klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili mchezaji wa kati wa Simba, Amri Kiemba Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»