Thursday Oct 23, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Kura ya Maoni»

Baba wa Taifa. Je, viongozi wetu wanamuenzi kwa vitendo?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Rushwa hii iepukwe CCM
NYUMA YA PAZIA: CCM inaitisha Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini mke au mume amwibie mwenzake mfukoni akiwa amelala?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dk. Myles Munroe na ujumbe wake walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam juzi na kufanya mazungumzo.PICHA: OMR

Majibu ya Jaji Warioba Katiba Mpya

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano uliopendekezwa kwenye Katiba pendekezwa ‘una utata mkubwa’ hasa baada ya kupunguza mambo ya Muungano na kwamba kunaipa nguvu Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuwa Serikali ya Tanganyika Habari Kamili

Biashara »

Wataka Kuwapo Ushindani Wa Haki Katika Soko La Saruji

Serikali imeombwa kuwa makini na kuhakikisha kuna ushindani wa haki katika soko la saruji nchini na kuwa hakuna wazalishaji watakaotumia mbinu chafu katika kuendesha biashara ya saruji Habari Kamili

Michezo »

Simba, Yanga `kuihama` Dar Leo

Vikosi vya timu kongwe za soka vya nchini, Simba na Yanga vinatarajia kuondoka jijini Dar es Salaam leo asubuhi na kuelekea Mbeya na Shinyanga kwa ajili ya mechi zao za Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambazo zitafanyika Jumamosi Oktoba 25 mwaka huu, imeelezwa jana Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»