Thursday Oct 2, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Kero Za Wazee Zimalizwe Kwa Vitendo, Siyo Maneno

Watanzania waliungana na watu wengine duniani kote kuadhimisha 'Siku ya Wazee Duniani' ambayo huadhimishwa Oktoba Mosi ya kila mwaka. Katika siku hiyo, matamko mbalimbali hutolewa kwa nia ya kuikumbushia jamii juu ya wajibu wao katika kuhakikisha kwamba wazee wanapata haki zao Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Nape:Katiba siyo hitaji la Watanzania wengi. Je, Unamuunga mkono?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Jaji Warioba anapomsubiri Sitaa mtaani!
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mke wangu ana kipato, matumizi natoa mimi tu kwanini?
ACHA NIPAYUKE: Sherehe za kifo cha Dk. Mvungi na `njia panda` ya Katiba Mpya!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Othman Masoud Othman (katikati), akiwa amezungukwa na askari wa Bunge mjini Dodoma, baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge Maalum la Katiba jana. Hatua hiyo ililenga kumuepusha na kipigo kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa bunge hilo kutoka Zanzibar waliochukizwa na kitendo chake cha kutoshiriki kwenye hatua za mwisho za mchakato wa kutengeneza katiba hiyo na hata alipojitokeza siku ya mwisho ya upigaji kura, alipiga kura ya hapana kwa baadhi ya ibara.Picha/Khalfan Said

Sitta: Maaskofu ni Ukawa

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta sasa ‘ametangaza rasmi vita’ dhidi ya viongozi wa dini kwa kusisitiza kuwa hayuko tayari kuwaheshimu wala kuwavumilia  ambao wanatoa nyaraka alizodai kuwa hazina utukufu wa Mwenyezi Mungu kwa waumini wao Habari Kamili

Biashara »

Watanzania Wang`ara Viongozi Wachumi Wa Kesho Afrika

Watanzania watano wamechaguliwa kuingia katika orodha ya viongozi wachumi wa kesho 100 akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MetL), Mohammed Dewji Habari Kamili

Michezo »

Bao La Usiku Simba,Polisi Moro Si Halali

Bao la usiku (dk.90) lililozua utata katika mechi ya Simba dhidi ya Polisi Morogoro kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi, si halali, imeelezwa Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»