Monday Nov 24, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Yanga Imchunguze Maximo Kabla Ya Kumsajili Emerson

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuwa kesho inatarajia kumpokea kiungo Mbrazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe kufanya majaribio na baadaye vipimo vya afya na kama atafuzu, basi watamsajili katika usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa Novemba 15 kabla ya kufungwa Desemba 15, mwaka huu Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Sakata la fedha za Escrow. Je, kama ikithibitika kuwa wamekiuka maadili; watuhumiwa kujiuzulu inatosha?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Wavaa nguo fupi wazomewe, wasivuliwe hadharani!
HEKIMA ZA MLEVI WA CANADA: Mlevi afanya utafiti kuhusu uchaguzi ujao
MTAZAMO YAKINIFU: Utafiti wa Twaweza unapoibua mjadala katika jamii
Moto uliowashwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unazidi kutikisa. Kundi la wanachama wa CCM katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, mkoani Singida wakiwa wameshika kadi za Chadema wakati wa kiapo cha uzalendo, muda mfupi baada ya kujiunga na chama hicho kwenye moja ya mikutano ya ‘Operesheni Delete CCM’ iliyohutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, mwishoni mwa wiki.

Kwa nini IPTL inatesa vigogo?

Wakati mbivu na mbichi kuhusu sakata la uchotaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 za Escrow akaunti iliyopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zikitarajia kujulikana wiki hii, habari za kina zaidi zinazowafanya wakubwa serikalini wakose usingizi zimezidi kubainika Habari Kamili

Biashara »

Samsung Yapongezwa Kwa Kukuza Teknolojia Nchini

Kampuni ya Samsung Electronics Tanzania imepongezwa kwa kusaidia kukuza teknolojia ya mawasiliano na kukomesha bidhaa bandia nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu, alitoa pongeza hizo wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy note 4 jijini Dar es Salaam jana Habari Kamili

Michezo »

Kikosi Bora Ligi Kuu Bara Msimu Huu

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), imesimama kwa wiki saba kupisha mechi ya kimataifa ya kirafiki ya Swaziland dhidi ya Taifa Stars, usajili wa dirisha dogo, mashindano ya Kombe la Uhai yanayoshirikisha Timu B za timu za Ligi Kuu na michuano ya Chalenji ambayo hata hivyo inaonekana kukwama kutokana na kukosa nchi mwenyeji baada ya Ethiopia kujitoa Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»