Wednesday Apr 16, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Vyombo Vya Usalama Vitupe Majibu Mashambulizi Arusha

Awali lililengwa kanisa likiwa limefurika waumini, kisha mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa madiwani na sasa ni baa iliyokuwa imejaa wateja huku wakiangalia mpira wa soka ambao una  wafuasi wengi nchini Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Mwenendo wa Bunge la Katiba. Je, Unaridhisha?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Bado ni wajamaa tunaojitegemea?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mtoto uliyemkana sasa anataka kukusaidia nawe hutaki, kwanini?
MTAZAMO YAKINIFU: Tuelezwe na walioshuhudia Muungano ukiundwa
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ismail Jussa, akizungumza na mjumbe mwenzake, Shamsi Vuai Nahodha, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Picha: Selemani Mpochi

Moto wa Katiba wavunja `ndoa` ya CCM, CUF Z`bar

Wajumbe  kutoka Zanzibar wameliteka Bunge Maalumu la Katiba kwa kupashana na  kuaibishana kila wanapochangia mjadala kuhusu muundo wa Muungano Habari Kamili

Biashara »

EABC Yapata Uongozi Mpya

Baraza  la Biashara la Afrika Mashariki (EABC), limepata uongozi mpya huku likiwa na mikakati kabambe ya kukabiliana na vikwazo vya kibiashara kwa nchi tano zinazoingiliana kibiashara Habari Kamili

Michezo »

Hatima Ya Loga Mikononi Mwa Yanga

Kocha wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravco Logarusic amesema kuwa anahitaji kupata ushindi katika mechi ya funga pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wapinzani wa jadi Yanga ili kuokoa kibarua chake ndani ya timu hiyo Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»