Monday Sep 1, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

TFF Afcon 2017 Sawa Ila Maandalizi Yaanze Sasa

Tayari Shirikisho la Soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa limetuma maombi Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) ya kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 baada ya kupata baraka za serikali Habari Kamili

Kura ya Maoni»

JK apokea hoja za Ukawa, vyama. Je, Ukawa watarudi kwenye bunge maalum?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Huna mali, huwezi kumuoa binti yangu….Ebo!
ACHA NIPAYUKE: Karibu Mizengo Peter Kayanza Pinda
MTAZAMO YAKINIFU: Mkapa usiogope, nena la taifa lako
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kabla ya kuanza kwa kikao kati yake na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.PICHA: IKULU

Msuya: Sifa 16 za Rais 2015

Wakati joto la harakati za wanasiasa wanaojipanga kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais mwakani likizidi kupanda, mwanasiasa mkongwe nchini, Cleopa David Msuya, ametaja sifa 16 za rais ajaye Habari Kamili

Biashara »

Halmashauri Zaagizwa Kuanzisha Madawati Ya Uwekezaji Kilimanjaro

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama ameziagiza halmashauri za wilaya za mkoani humo kuanzisha madawati ya uwekezaji katika ofisi zao ili kuwavutia na kuwarahisishia wawekezaji kupata huduma na  vibali vya ujenzi Habari Kamili

Michezo »

Okwi Amrejesha Bin Kleb Kazini

Baada ya Yanga 'kupigwa' na wapinzani wao wa jadi, Simba ambao wametangaza kumsajili kwa mara nyingine Mganda Emmanuel Okwi aliyeichezea msimu uliopita, hatimaye umeamua kumrejesha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano, Abdallah Bin Kleb, kuwa mjumbe wa kamati hiyo Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»