Friday Nov 21, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Vurugu Hizi Za Machinga Mwanza Zitafutiwe Dawa

Vurugu kubwa zilitokea katika maeneo mbalimbali ya katikati ya jiji la Mwanza juzi kufuatia mgogoro baina ya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama 'Wamachinga' na mamlaka za jiji hilo Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Serikali imekiri kuwa uchumi umekua kwa asilimia 7.0. Je, unaona na kwako umekua pia?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Utafiti wa Twaweza unapoibua mjadala katika jamii
NYUMA YA PAZIA: Bunge lisilo na wivu wa madaraka yake ni kibogoyo
MTAZAMO YAKINIFU: Mfumo wa wananchi wasiwe na uhakika ya kesho unazaa wahalifu
Mbunge wa viti maalumu (CCM)Ester Bulaya,akizungumza jana bungeni.

IPTL yambabua Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya kubanwa na wabunge ambao waliweka pembeni tofauti za vyama vyao vya siasa na kuungana kupinga vikali njama zinazodaiwa kufanywa na Mahakama ya Tanzania za kuingilia uhuru wa Bunge kwa kulizuia kujadili ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL ya uchotwaji wa Sh Habari Kamili

Biashara »

Samsung Yapongezwa Kwa Kukuza Teknolojia Nchini

Kampuni ya Samsung Electronics Tanzania imepongezwa kwa kusaidia kukuza teknolojia ya mawasiliano na kukomesha bidhaa bandia nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu, alitoa pongeza hizo wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy note 4 jijini Dar es Salaam jana Habari Kamili

Michezo »

TFF Yailea Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeendelea 'kuwalea' viongozi wa Klabu ya Yanga yenye makao makuu yake Mtaa wa Twiga na Jangwani, jijini Dar es Salaam kwa kuwanyamazia wavunje katiba yao na ya shirikisho hilo kwa kukaa madarakani wakati wameshamaliza muda wao wa uongozi Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»