Friday Dec 19, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Timuatimua Ya Waziri Ghasia Itoe Somo Kwa Wakurugenzi

Wakurugenzi 17 wa halmashauri nchini, wameshughulikiwa baada ya kuvurunda katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Jumapili iliyopita. Hatua hiyo ilichukuliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, ambaye alitangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi sita, kusimamisha watano, kuwapa onyo kali watatu na kuwapa onyo la kawaida wakurugenzi watatu Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, Watanzania tumejizatiti kukomesha wizi wa mali za umma?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Matokeo haya `yaifumbue macho`CCM
NYUMA YA PAZIA: Hujuma dhidi ya uchaguzi hazijibu shida za wananchi
MTAZAMO YAKINIFU: Wanyonge wanapolishwa kauli na wenye nguvu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, akielezea msimamo wake wa kutojiuzulu katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.PICHA: KHALFAN SAID.

Tibaijuka: Mimi, Prof Muhongo hatung`oki

Siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Habari Kamili

Biashara »

Kampuni Ya Uchimbaji Barrick Yabadili Jina

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia,  imehamishia makao yake makuu  nchini kutoka Afrika Kusini. Hayo yalisemwa jana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo ambayo zamani ilikuwa ikijulikana kama African Barrick Gold (ABG), Brad Gordon wakati akitambulisha jina hilo jipya la Acacia kwa  viongozi wa wilaya na vijiji  vilivyopo  Kahama na Nyang’whale mkoani Shinyanga katika mkutano uliofanyika kwenye mgodi wa Bulyanhulu wilayani Kahama Habari Kamili

Michezo »

Maximo Aambulia Milioni 60/- Yanga

Marcio Máximo, kocha anayesubiri barua ya kutimuliwa Yanga, ataigharimu klabu hiyo ya Jangwani Sh. milioni 60, ikiwa ni gharama za kuvunjwa kwa mkataba wake Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»