Saturday May 25, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Tunakataa Fujo Za Mtwara, Serikali Ijitafakari Kwa Kina

Hali ya usalama ni tete mkoani Mtwara kutokana na vurugu zilizoanza juzi asubuhi baada ya kuwasilishwa bungeni kwa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Kujivua gamba, tegemeo la uhai wa CCM
MTAZAMO YAKINIFU: Kukamata makahaba tunatatua tatizo gani?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini wanawake wahonge wanaume?
Sheha wa Shehia ya Tomondo, Muhamed Said ‘Kidevu; aliyemwagiwa tindikali nyumbani kwake mtaa wa Tomondo mjini Zanzibar.

Mtwara janga

Machafuko katika mkoa wa Mtwara jana yaliingia siku ya pili huku mwanamke mjamzito akiuawa kwa madai ya kupigwa risasi na polisi, watu 18 wakijeruhiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likiingilia kati kulinda maeneo muhimu Habari Kamili

Biashara »

NBC Kuanzisha Huduma Za Mikopo Kwa Wafanyakazi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kitengo chake cha huduma za kibenki zinazofuata kanuni za kifedha za Kiislamu inatarajia kuanzisha huduma ya mikopo kwa wafanyakazi (Islamic Group Finance)  kabla ya Septemba mwaka huu Habari Kamili

Michezo »

JK: Morocco Wanafungika Kwao­

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amewaambia wachezaji wa timu ya taifa ya soka (Taifa stars) kwamba wanaweza kuwafunga tena Morocco katika mechi yao ya marudiano ya kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2014 mjini Marrakech kama walivyowafunga jijini Dar es Salaam katika mechi yao ya awali Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»