Yanga jana ilianzisha sherehe za ubingwa wake wa 23 wa ligi kuu ya Bara kwa kishindo baada ya kuwafunga mahasimu Simba 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa, katika mchezo ambao mpishi wa mabao hayo alikuwa na bahati kuwa uwanjani kuyatengeneza na mwamuzi Martin Saanya kupasuliwa usoni kwa ngumi ya mchezaji na kutibiwa uwanjani akiwa amelala kwenye nyasi kwa dakika tano
Habari Kamili