Thursday May 23, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Search IPPmedia

Uwajibikaji

11th July 2012
Print
Comments
Katibu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetengeneza muongozo wa kupima utendaji wa viongozi wa serikali ili kuwajengea mazingira ya kuhudumia wananchi kwa usahihi.

Akitoa taarifa hiyo kwa wanahabari jana, Katibu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, alisema muongozo huo utakaopima utendaji wa wabunge, wenyeviti wa mitaa, halmashauri na vijiji utasaidia kuleta uwajibikaji kwa sababu watatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu za muongozo huo.

Aidha, Dk. Slaa alisema kuwa kwa mara ya kwanza Sekretariati ya Chadema imetengeneza kanuni mpya za uchaguzi ili kupambana na rushwa ndani na nje ya chama baada ya kugundua kuwa vyama vingine havina dhamira ya kuanzisha kanuni hiy
o.



 

SOURCE: NIPASHE
0 Comments | Be the first to comment