Wednesday May 22, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Tuwe Macho Sera Ya Gesi Itatupoteza

Wiki iliyopita Wizara ya Nishati na Madini ilitoa semina kwa wabunge juu ya sera mpya ya gesi asilia. Utungwaji wa sera mpya ni jambo lililokuwa linasubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wengi wa maendeleo nchini kwa sababu kuu moja, kwamba Tanzania sasa imekwisha kugundulika hazina kubwa ya nishati hiyo ikifikia takribabani futi za ujazo trilioni 40 Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, madai ya Mbunge kuwa serikali inatumbua sana ni ya kweli?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Kukamata makahaba tunatatua tatizo gani?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini wanawake wahonge wanaume?
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA: Amani inapodumu mitaani, milipuko misikitini, makanisani!
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akiteremka kutoka katika gari la Polisi kusomewa mashitaka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa jana.

Msigwa aachiwa kwa dhamana

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa na watuhumiwa wengine 74 kufuatia vurugu zilizotokea juzi kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga na polisi mjini hapa Habari Kamili

Biashara »

Makandarasi Kukutana Dar Es Salaam

Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) imewataka makandarasi nchini kuhudhuria kwa wingi kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa majadiliano wa bodi hiyo unaotarajiwa kuanza Alhamisi wiki hii jijini Dar es salaam Habari Kamili

Michezo »

Ngasa: Nimerejea Nyumbani Yanga

Mshambuliaji wa Azam, Mrisho Ngasa, aliyekuwa akiitumikia klabu ya Simba kwa mkopo, na ambaye mkataba wake na Azam unamalizika leo, amesema kwamba ameamua kurejea kwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Yanga kwa sababu ndiyo klabu anayoipenda na kwamba kwingine alikuwa akienda kutafuta riziki kama mchezaji Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»