Sunday Mar 1, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Bandari Zilizofufuliwa Ziwe Chachu Ya Maendeleo

Nchi yetu ina fursa nyingi za kutumia rasilimali za asili katika kujipangia maendeleo yake, moja kati ya fursa zilizo wazi ni za kutumia vyanzo vya usafiri na usafirishaji, miundombinu ambayo ni muhimu katika kuunganisha jitihada za kiuchumi miongoni mwa wafanyabiashara na wazalishaji wa bidhaa mbalimbali Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Utawala wa Haki Tanzania

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mama amlilia mwanae aliyetekwa na shugamami!
ACHA NIPAYUKE: Nitakapotenga milioni 10 kununulia mboga!
TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA: Bila meno, maamuzi Sekretarieti Maadili ya Viongozi Umma ni bure
Mkurugenzi wa usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho `Red Brigedi` huku Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza kwa makini. (Picha: Daniel Mkate)

Buriani Kapteni Komba

Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John Komba (61), amefariki dunia ghafla jana. Kapteni Komba alikimbizwa katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni jijini Dar es Saalam, jana mchana baada ya hali yake kubadilika ghafla Habari Kamili

Biashara »

CRDB Yaikopesha Serikali Sh. Bil. 15 Kulipa Madeni Ya Wakulima

Serikali imepata mkopo wa Sh. bilioni 15 kulipa madeni ya mazao ya nafaka ambayo wakulima wanaidai kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Habari Kamili

Michezo »

Simba Yaua 5 Ikimsubiri Mtani

Ibrahim Hajibu anaweza kuwa amezimua msimu wa Simba baada ya mabao matatu ya mshambuliaji huyo kuisaidia kupata ushindi wa kishindo wa 5-0 dhidi ya Prisons wiki moja kabla ya pambano la watani wa jadi, ambalo kama Wekundu wa Msimbazi watashinda watakuwa pointi mbili tu nyuma ya viongozi wa ligi kuu ya Bara Yanga Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»