Wednesday Mar 4, 2015
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Ahadi Kulipa Deni La Mahindi Itekelezwe Kuokoa Wakulima.

Kuna taarifa njema kuwa serikali iko mbioni kulipa madeni yote kwa wakulima waliouza mahindi kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kufikia mwishoni mwa mwezi huu Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Mauaji ya Albino: Je, vyombo vya serikali vimeonesha uwajibikaji?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Umsamehe dhambi, Kapteni Komba afike kwako!
NYUMA YA PAZIA: Suti mpya yenye viraka ya nini?
MTAZAMO YAKINIFU: Tunahitaji mpiga kura anayejitambua.
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakiwa wamepanga foleni katika kituo cha kuuzia Luku Temeke kwa Sokota kusubiri huduma hiyo. Kwa takribani siku nne sasa, mfumo wa ununuzi wa umeme wa Luku umekuwa na matatizo. PICHA: MPIGAPICHA WETU

Kapteni Komba aacha historia.

Aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni mstaafu John Komba, amezikwa katika kijiji cha Lituhi wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma huku akiacha historia kutokana na mazishi yake kuhudhuriwa na umati wa watu wakiwamo viongozi waandamizi wa serikali na vyama vya siasa Habari Kamili

Biashara »

CRDB Yaikopesha Serikali Sh. Bil. 15 Kulipa Madeni Ya Wakulima

Serikali imepata mkopo wa Sh. bilioni 15 kulipa madeni ya mazao ya nafaka ambayo wakulima wanaidai kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Habari Kamili

Michezo »

Kulikoni Kusitisha Tiketi Elektroniki Taifa?

Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia jana Machi 3 hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»