Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyoanza Septemba mwaka jana hatimaye ilifikia mwisho juzi ambapo klabu za Yanga na Azam zilipata tiketi ya kuliwakilisha taifa katika michuano ya Afrika baada ya kumaliza kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo
Yanga waliotwaa ubingwa, watashiriki michuano ijayo ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika huku Azam waliokamata nafasi ya pili wakipata nafasi ya kushiriki kwa mara ya pili mfululizo michuano ya Kombe la Shirikisho
Habari Kamili