Wednesday Jun 19, 2013
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Polisi Wajipime, Wajitafakati,ili Watimize Wajibu Wao

Katika siku za hivi karibuni umeibuka utaratibu ambao siyo wa kawaida wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumika katika shughuli ambazo kimsingi ni za kipolisi Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Rasimu mpya ya Katiba. Je, unaunga mkono mfumo wa serikali tatu?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Nuru ya amani inapotoweka Tanzania!
MTAZAMO YAKINIFU: Mtazamo wa baadhi ya serikali za Afrika
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mume anaenda masomoni anarudi umebeba mimba ya mwezi na nusu!
Askari wakiwatawanya Wananchi waliokusanyika katika viwanja vya Soweto jijini Arusha kuombeleza vifo vya wenzao waliouawa kwa bomu.PICHA: WOINDE SHIZZA

Mabomu yarindima Arusha

Mabomu ya machozi yaliyokuwa yanarushwa na Jeshi la Polisi jana yalifunika Jiji la Arusha na kusababisha taharuki kubwa. Hali hiyo ilifanya mji uchafuke na kuwaweka katika hali ngumu wakazi wake kutokana na milipuko ya mabomu hayo yaliyokuwa yakirushwa hovyo ili kuvunja mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokuwa umepangwa kuaga marehemu mmoja aliyeuawa kwenye shambulio la ugaidi katika mkutano wake kwenye viwanja wa Soweto Habari Kamili

Biashara »

Bajeti Yakosolewa Kutozungumzia Ukwepaji Kodi Saruji Ya Nje

Kiwanda cha Saruji cha Tanga (TCCL), kimesema kimesikitishwa na Bajeti ya Serikali ya mwaka 2013/13 kushindwa kueleza mikakati ya kuzuia ukwepaji kodi unaofanywa na watu wanaoingiza saruji nchini kutoka nje hasa kutoka Pakistani Habari Kamili

Michezo »

Stars, Ivory Coast Zaingiza Mil.500/-

Mechi ya mchujo ya mashindano ya Kombe la Dunia ya Kundi C kati ya Taifa Stars ya Tanzania dhidi ya Ivory Coast iliyomalizika kwa wenyeji kulala magoli 4-2 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi imeingiza Sh Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»