Thursday Oct 23, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Watoto Wa Kike Walindwe Dhidi Ya Mimba, Ukeketaji

Kuna taarifa kuwa licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa kila uchao katika kuwalinda watoto wa kike nchini, bado tatizo ni kubwa. Maelfu ya watoto wa jinsia hiyo wamekuwa wakikumbana na changamoto zinazowaweka katika hatari nyingi zikiwamo za kiafya Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Baba wa Taifa. Je, viongozi wetu wanamuenzi kwa vitendo?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Rushwa hii iepukwe CCM
NYUMA YA PAZIA: CCM inaitisha Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini mke au mume amwibie mwenzake mfukoni akiwa amelala?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dk. Myles Munroe na ujumbe wake walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam juzi na kufanya mazungumzo.PICHA: OMR

Majibu ya Jaji Warioba Katiba Mpya

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano uliopendekezwa kwenye Katiba pendekezwa ‘una utata mkubwa’ hasa baada ya kupunguza mambo ya Muungano na kwamba kunaipa nguvu Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuwa Serikali ya Tanganyika Habari Kamili

Biashara »

Wataka Kuwapo Ushindani Wa Haki Katika Soko La Saruji

Serikali imeombwa kuwa makini na kuhakikisha kuna ushindani wa haki katika soko la saruji nchini na kuwa hakuna wazalishaji watakaotumia mbinu chafu katika kuendesha biashara ya saruji Habari Kamili

Michezo »

Simba Ina Njaa Ya Ushindi- Phiri

Kocha mkuu wa timu ya Simba, Mzambia Patrick Phiri, amesema kikosi chake kina ari ya juu ya ushindi na kitashuka uwanjani kuwakabili wapinzani wao Prisons katika mechi ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara Jumamosi kwa tahadhari ili waweze kupata pointi tatu muhimu Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»