Tuesday Jul 22, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Siasa Iepukwe Katika Kuwasaka Walipuaji Wa Mabomu Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha ametangaza habari njema kwa wakazi wa mkoa wake na Watanzania wote kwa ujumla. Hii ni kutokana na taarifa yake kuwa hadi sasa, serikali imeshabaini kiini cha kuwapo kwa milipuko ya mabomu mkoani mwake na pia kuwajua wahusika wote wa matukio hayo Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Sugu: Nitaendelea kupiga ngumi bungeni

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Waziri Lazaro Nyalandu tupia jicho Rufiji Delta
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Ulimuacha mke, sasa unataka akurudie kama kimada!
MTAZAMO YAKINIFU: Tuwapime kwa utumishi, si ufadhili wao
Mama Ntilie akiharakisha kuelekea eneo lake la biashara mapema asubuhi jana, maeneo jirani na stesheni ya reli ya Tazara, jijini Dar es Salaam. Picha na Khalfan Said

Biashara ya damu ya binadamu yaibuka

Uuzaji wa damu ya binadamu kwa nia ya kujipatia kipato umeshika kasi nchini na baadhi ya hospitali imethibitika kuwa biashara hiyo inawapatia kipato watu wanaofanya shughuli ndani ya hospitali hizo au jirani nazo Habari Kamili

Biashara »

Wafanyabiashara Walalamikia Kubaguliwa Soko Kuu Mailimoja

Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mailimoja, Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani,  wamemlalamikia Mwenyekiti wa soko hilo, Ally Gonza, kwa madai ya kuwapendelea wafanyabiashara wa soko la jirani na kutokuitisha mkutano takriban miaka minne sasa kinyume cha utaratibu Habari Kamili

Michezo »

Jembe Jaja Lasaini Miaka 2 Yanga

Hatimaye uongozi wa klabu ya soka ya Yanga, jana umelisainisha rasmi 'Jembe' lao jipya la Kibrazil Geilson Santos Santana "Jaja" mkataba wa miaka miwili, imeelezwa Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»