Hakuna kitu kinachothaminiwa katika jambo lolote kama uzoefu. Uzoefu ni muhimu katika kazi, katika kutenda mambo kwenye kila jambo uzoefu husaidia kufanya mambo kwa umakini zaidi na kufikia malengo kwa wepesi na bila kutoka jasho jingi Habari Kamili
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (kushoto), akimfariji Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, katika Hospitali ya Arusha Medical Lutheran Center (ALMC) alikolazwa baada ya kushambuliwa na watu wanaodhaniwa kuwa makada wa CCM Makuyuni, Monduli, mkoani Arusha juzi.
Lukuvi amchefua Mbowe
Taarifa ya serikali iliyosomwa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, kuhusiana na tukio la shambulizi la bomu jijini Arusha Jumamosi iliyopita, imemchafua Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Habari Kamili
Biashara »
Bajeti Yakosolewa Kutozungumzia Ukwepaji Kodi Saruji Ya Nje
Kiwanda cha Saruji cha Tanga (TCCL), kimesema kimesikitishwa na Bajeti ya Serikali ya mwaka 2013/13 kushindwa kueleza mikakati ya kuzuia ukwepaji kodi unaofanywa na watu wanaoingiza saruji nchini kutoka nje hasa kutoka Pakistani Habari Kamili
Mechi ya mchujo ya mashindano ya Kombe la Dunia ya Kundi C kati ya Taifa Stars ya Tanzania dhidi ya Ivory Coast iliyomalizika kwa wenyeji kulala magoli 4-2 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi imeingiza Sh Habari Kamili
Matibabu bure kwa wazee ni kiini macho: Uamuzi wa serikali kwamba, wazee wanaovuka umri wa miaka 60 wapatiwe matibabu bure ni kama hautekelezeki.
Wazee wengi wanalalamika
Sababu za kukojoa mara kwa mara: Wanaume,hasa wenye umri mkubwa husumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya ‘prostate’ (tezi kibofu ya mamalia dume).
Uchumi wa mlala hoi bado gizani?: Wiki hii imekuwa ya gumzo kuhusu bajeti iliyosomwa bungeni na imewavuta makundi mbalimbali kuzungumzia masuala ya ongezeko
Kilimo cha mkataba kinakuja Tanzania: Iwapo kilimo cha mkataba kitafanikiwa, wakulima wataondokana na adha ya kukopwa mazao na wanunuzi.
Hii ni kwa mujibu wa
Makovu ya miezi sita ya vurugu Mtwara: Uasi dhidi ya serikali, uliodumu kwa takribani miezi sita mkoani Mtwara umeacha makovu mengi. Maisha ya wananchi yamepotea
Rasimu Sera ya gesi, imejaa matundu?: Wakati Serikali ikiwa katika mchakato wa kutandaza bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam kwa ajili ya uzalishaji