Thursday Nov 27, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Hili Ndilo Bunge Tunalolitaka

Jana Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania lilithibitisha pasi na shaka yoyote kwamba lipo kikatiba, ni muhimili unaojitegemea na kwamba haliwezi kuamrishwa na mamlaka nyingine yoyote isipokuwa yale yanayolianzisha na kuweka utaratibu wa kujiendesha kwake Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Sakata la fedha za Escrow. Je, kama ikithibitika kuwa wamekiuka maadili; watuhumiwa kujiuzulu inatosha?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Karibu Escrow,`wimbo` unaogusa hisia zetu!
NYUMA YA PAZIA: Bunge lisiyumbishwe, ni lazima liirejeshe serikali kwenye mstari
MTAZAMO YAKINIFU: Nairobi: Wanawake walikosa nini?
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Hassan Zungu (kulia), akielekea kwenye kiti chake kwa ajili ya kuanza kwa kikao cha Bunge, mjini Dodoma jana asubuhi.

Gharika

Gharika la ‘Tegeta Escrow’ limeikumba serikali baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na viongozi waandamizi kadhaa wa serikali kubainika kuhusika katika sakata la uporwaji wa zaidi ya Sh Habari Kamili

Biashara »

Kinana Ataka Viwanda Vya Kubangua Korosho Vijengwe

Katibu Mkuu wa Cham Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman kinana, amesena lazima serikali ieleze sababu za kutojengwa viwanda ya kubangulia korosho wakati zao hilo linazalishwa kwa wingi nchini huku asilimia 92 ya zao hilo inauzwa nje ya nchi Habari Kamili

Michezo »

Emerson: Nina Habari Za Simba

Kiungo mkabaji, Mbrazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe amewasili nchini na kupokewa na mashabiki wachache wa Yanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam (JNIA) jana alasiri akitokea Brazil huku akiweka wazi kuwa amekuja kupambana Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»