Thursday Jul 31, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Upandishaji Wa Nauli Kiholela Uzuiwe Hata Baada Ya Sikukuu

Mamalaka ya Usafiri wa Majini na Nchikavu (Sumatra) ilitoa taarifa ya kuendesha mapambano makali dhidi ya mabasi ynayopandisha nauli kiholela katika siku za sikukuu ikiwamo ya Idd El-Fitr iliyomalizika jana Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Ukawa. Je, warejee bunge maalum la katiba?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Tukiupuuzia mgawanyiko huu, taifa litaangamia!
MTAZAMO YAKINIFU: Waziri Nyalandu upo? Kazimzumbwi kumevamiwa
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mke alienda kwao kusalimia, ndugu wanamkataza asirejee tena kwangu!
Wananchi wakiangalia basi la Morobest lilipopata ajali ya kugongana uso kwa uso na lori jana na kuua watu 17 katika eneo la Pandambili, wilayani Kongwa, mkoa wa Dodoma. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

Bunge la Katiba laitishwa,Ukawa ngangari

Bunge Maalumu la Katiba limeitishwa Agosti 5, mwaka huu, huku wajumbe wake wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wao wa kutorejea bungeni hadi yatakapopatikana maridhiano ya msingi Habari Kamili

Michezo »

Stars Yapaa Na Dawa Ya Mambas

Nahodha wa timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema kwamba wameondoka nchini wakijiamini wanaweza kupata ushindi ugenini kwa kuwa tayari wanayo dawa ya kuiondoa Msumbiji (Mambas) katika mechi yao ya marudiano ambayo itafanyika Jumapili Agosti 3, mwaka huu mjini Maputo Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»