Thursday Oct 30, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Vyama Visivyowasilisha Hesabu Vichunguzwe, Vichukuliwe Hatua

Kuna taarifa kuwa baadhi ya vyama vya siasa vimeshindwa kuwasilisha hesabu zao zinazoonyesha mapato na matumizi yao. Hivi ni pamoja na vile vinavyopata ruzuku kutoka serikalini Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Kushamiri kwa ujambazi. Je kuna juhudi chanya za kuutokomeza?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Ni kweli wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki?
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Anayemwibia mumewe hana penzi la dhati moyoni!
ACHA NIPAYUKE: Kura ya maoni isiendeleze mgawanyiko kwa Taifa
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akishikana mikono na Balozi wa Ufanransa nchini, Malika Berak, mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika ofisi ya Dk Mengi, jijini Dar es Salaam jana.

Zambia yapoteza rais wa pili akiwa madarakani

Zambia imeendelea kukumbwa na mkasa wa kufiwa na marais wake wakiwa bado madarakani, baada ya Rais Michael Sata (77) kufariki dunia  jijini London, Uingereza alikokuwa amelazwa kwa  matibabu Habari Kamili

Biashara »

Wataka Kuwapo Ushindani Wa Haki Katika Soko La Saruji

Serikali imeombwa kuwa makini na kuhakikisha kuna ushindani wa haki katika soko la saruji nchini na kuwa hakuna wazalishaji watakaotumia mbinu chafu katika kuendesha biashara ya saruji Habari Kamili

Michezo »

Malinzi Ashindwa Kuvunja Makundi TFF

Wakati Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, akikiri kwamba hakuna umoja hapa nchini katika kufanikisha maendeleo ya mchezo huo hapa nchini, Wakili Damas Ndumbaro, anatarajia 'kutapika nyongo' kesho kuhusu adhabu ya kifungo cha miaka saba aliyopewa na Kamati ya Nidhamu ya shirikisho hilo hivi karibuni Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»