Sunday Dec 21, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Kasi Ya Ujenzi Wa Maabara Itekelezwe Kwa Dhati

Uhaba wa maabara za sayansi ni moja ya matatizo makubwa yaliyoikumba sekta ya Elimu nchini, hasa kwa upande wa shule za sekondari . Ni tatizo ambalo limeonekana dhahiri kudhoofisha jitihada za serikali za kupanua wigo wa kufundisha masomo ya sayansi kwa vitendo Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Je, Watanzania tumejizatiti kukomesha wizi wa mali za umma?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MAISHA NDIVYO YALIVYO: Talaka iko mlangoni, unakumbuka shuka asubuhi!
MTAZAMO YAKINIFU: Matokeo haya `yaifumbue macho`CCM
NYUMA YA PAZIA: Hujuma dhidi ya uchaguzi hazijibu shida za wananchi
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, mara baada ya Rais Kikwete kuwatunu kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani Arusha jana.

Kikwete na mambo manne hukumu ya Escrow kesho

Kesho ni siku ya 23 kamili tangu Bunge litoe maazimio manane juu ya uwajibikaji wa wahusika wote katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, ambayo Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa maamuzi yake, lakini akikabiliwa na mambo makuu manne Habari Kamili

Biashara »

Kampuni Ya Uchimbaji Barrick Yabadili Jina

Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia,  imehamishia makao yake makuu  nchini kutoka Afrika Kusini. Hayo yalisemwa jana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo ambayo zamani ilikuwa ikijulikana kama African Barrick Gold (ABG), Brad Gordon wakati akitambulisha jina hilo jipya la Acacia kwa  viongozi wa wilaya na vijiji  vilivyopo  Kahama na Nyang’whale mkoani Shinyanga katika mkutano uliofanyika kwenye mgodi wa Bulyanhulu wilayani Kahama Habari Kamili

Michezo »

Maximo Aondoka Yanga Akijuta

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo amesema ameondoka nchini huku akiwa na majuto ya kutokamilisha mipango yake mingi kwa ajili ya timu hiyo ya ligi kuu ya Bara Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»