Tuesday Jul 29, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Agizo La Kuzuia Matumizi Ya Kuni Viwandani Liheshimiwe

Serikali imesitisha vibali vyote vilivyotolewa vya kununua kuni na magogo kwa ajili ya nishati ya kuendesha viwanda mbalimbali nchini na badala yake imevitaka viwanda ndani ya muda wa miezi mitatu kuanzia sasa viwe vinatumia teknolojia ya makaa ya mawe, umeme na gesi ili kuendesha shughuli zake Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Ukawa. Je, warejee bunge maalum la katiba?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Waziri Nyalandu upo? Kazimzumbwi kumevamiwa
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Mke alienda kwao kusalimia, ndugu wanamkataza asirejee tena kwangu!
MTAZAMO YAKINIFU: Mnaotoka Chadema, mnakijua mnachofuata ACT?
Vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Udaktari cha Hospitali ya IMTU wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jana. PICHA: OMAR FUNGO.

Chadema wamvimbia Msajili wa Vyama

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kinatarajia kuchagua viongozi wake wapya wa kitaifa Septemba, mwaka huu, huku kikiwaruhusu viongozi wanaomaliza muda wao  kugombea tena tofauti na msimamo uliotolewa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Habari Kamili

Michezo »

Niyonzima Aisubiri Yanga Kigali

Kiungo wa kimataifa wa Yanga kutoka Rwanda, Haruna Niyonzima, anatarajiwa kujiunga na kikosi cha timu hiyo jijini Kigali kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) ambayo mwaka huu yatafanyika nchini humo kuanzia Agosti 8-24 Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»