Friday Aug 22, 2014
| Text Size
[-]
[+]
Pekua IPPmedia

Maoni ya Mhariri »

Upelelezi Kesi Mashambulizi Dhidi Ya Albino Uharakishwe

Jeshi la Polisi nchini limetangaza vita kali dhidi ya watu wanaojihusisha na mashambulizi dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) na kutaka wananchi watoe ushirikiano zaidi ili kukomesha uhalifu huo unaohusishwa na imani potofu za ushirikina Habari Kamili

Kura ya Maoni»

Serikali yashauriwa iruhusu walimu watumie mitandao kufundishia. Je unaunga mkono?

Getting poll results. Please wait...

Safu »

MTAZAMO YAKINIFU: Chadema iwafunde `mabaunsa` wake wasiwabughudhi waandishi
MTAZAMO YAKINIFU: Katiba Mpya:Vyombo vya habari vinapogeuzwa adui
MAISHA NDIVYO YALIVYO: Kwanini sadaka uliyopewa iishie kwenye pombe?
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma Kikwete na mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Epauko wilayani Mahenge, Morogoro baada ya shule hiyo kukabidhiwa msaada wa madawati 500 na Kampuni ya Kibaran Resources Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya Graphite na Nickel mkoani humo juzi.

Baregu:Najuta

Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, amejutia uamuzi wake wa kuendelea kuwa mjumbe wa Tume hiyo licha ya ushauri aliopewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kujitoa Habari Kamili

Biashara »

Wapewa Mbinu Za Bidhaa Zikubalike Soko La Kimataifa

Wajasiriamali na wazalishaji wa bidhaa wa Kitanzania, wametakiwa kuboresha zaidi bidhaa zao licha ya kukubalika katika masoko ya kimataifa. Akizungumza katika kipindi cha Kumepambazuka cha Radio One, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, alisema serikali imefanya mambo mengi katika kuwasaidia wajasiriamali na wafanyabiashara ikiwamo kupata mafunzo kutoka shirika la kuhudumuia viwanda vidogo (Sido) Habari Kamili

Michezo »

Phiri Ataka Kujipima Kwa TP Mazembe

Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri ameitazama ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyotolewa juzi na kisha kueleza kuwa imemkalia vizuri, lakini akasema angetamani kukipima kikosi chake dhidi ya timu ngumu ya TP Mazembe ya DR Congo kabla ya msimu kuanza hapo Septemba 20, mwaka huu Habari Kamili

Makala »

Picha za Wiki »

Vibonzo »

Pata kibonzo chako kila siku toka kwa Kabwela, the Flexibles na Dogo

Luninga na Redio»