NIPASHE

Kocha wa Singida United, Mholanzi Hans van der Pluijm.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Singida United ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Azam FC, katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi iliyopigwa Uwanja wa Amaan juzi usiku, hivyo kuungana na Yanga na Simba ambazo nazo...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema uvuvi haramu unaoendelea katika mwambao huo, unahatarisha maendeleo ya viwanda vya samaki vilivyopo na hatimae kudhoofisha ajira za wananchi walioko karibu na viwanda hivyo, hivyo kukwamisha...

MSHAMBULIAJI wa Mbao FC, Habib Kiyombo.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiyombo ambaye katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu kabla haijasimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, aliifunga Yanga mabao mawili na kuipa ushindi timu yake ya bao 2-0 dhidi ya mabingwa hao...
12Jan 2018
Mary Mosha
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkuu wa Takukuru, Mkoa wa Kilimanjaro, Holle Makungu, alipokuwa akizungumza na wanahabari kuwa serikali inatoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo, lakini...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imefanyika baada ya kukamilika kwa marekebisho ya kanuni ya ada na tozo za biashara ya utalii yaliyofanyika Desemba mwaka jana.Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maja Jenerali Gaudence Milanzi,...

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Desemba 20, wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mjini Dodoma, Rais Magufuli alimwagiza waziri huyo kufanya uchunguzi huo akidokeza kuwa kampuni...
12Jan 2018
Mary Mosha
Nipashe
Akitoa taarifa ya chuo hicho jana mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, Mkuu wa chuo hicho, Prof. Egbert Kessy, alisema moja ya upungufu uliojitokeza na kusababisha kufungiwa kudahili...

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wa Rais wa klabu hiyo, Geofrey Nyange, wakiingia mahakamani.

12Jan 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Wakati hali ya afya ya Rais huyo ikiibua utata, jalada la kesi ya aliyekuwa Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Jamal Malizi limerejeshwa Jamhuri kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP...

kocha wa timu hiyo, Nkata Paul.

12Jan 2018
Nipashe
Aidha, amesema alichokifuata Zanzibar ni ubingwa na kikosi chake hakiihofii timu yoyote kwenye michuano hiyo kwa sasa baada ya kuzishuhudia zote zikicheza kwenye michuano hiyo.URA itakutana na Azam...
12Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Uwekezaji SMZ waanza kuonyesha matunda
Hapa inatajwa eneo la uanzishaji mafunzo ya amali (ufundi), ikiwa ni sehemu ya mikakati ya serikali kupunguza tatizo la ajira na umasikini nchini.Mfumo huo unatoa mafunzo ya stadi mbalimbali...

Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano ya rais Ikulu, ilieleza kuwa uteuzi wa Kidata ulianza Januari 10.Wakati huo huo, Rais Magufuli...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Susan Kolimba.

12Jan 2018
Beatrice Shayo
Nipashe
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Susan Kolimba, akizungumza na Nipashe jana kuhusu tukio hilo, alisema wanafuatilia kwa kina ili kupata ukweli wake.“Kwa sasa...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hiyo inafanywa kama sehemu ya kuridhia vigezo, sheria na masharti ya nchi hiyo na tayari imeshawafahamisha wateja wake wa nchini humo.Kutokana na mabadiliko hayo mpya, China kupitia kampuni wakala...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia asali iliyosindikwa na Kikosi cha Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Nne la Biashara la Zanzibar kwenye viwanja vya Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi juzi. PICHA: OWM

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Natambua kwamba kazi ya kulipandisha hadhi zaidi tamasha letu hili si ndogo, hata hivyo ninayo imani kubwa kwamba  si tu uwezo wa kufikia malengo hayo mnayo bali pia mnaweza,”...

Said Omar Said, maarufu kama Sugu.

12Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Aiteka hadhira Maonyesho ya Biashara Maisara,  Chombo chake kinasafiri Unguja - Dar kwa nusu saa, Ajigamba kuwa mara ya 3 kuushangaza umma 
 Jamii yake ilimshangaa sana na inaendelea kumshangaa katika maonyesho yaliyofanyika mjini Mumbai anakoishi, akionekana kuweka historia kubwa. Ni kazi iliyomchukua miaka saba, akiunda...
12Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Iko kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.Lowassa alikwenda Ikulu, Dar es Salaam Jumanne na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli yaliyohusiana na masuala mbalimbali.Taarifa iliyotolewa jana kwa...

Obrey Chirwa.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Waamuzi wastaafu waelezea sheria ya penalti ilivyopindishwa...
Akicheza mechi yake ya kwanza ya michuano hiyo mwaka huu, Chirwa, mshambuliaji wa kimataifa kutoka Zambia, alikosa penalti ya mwisho ya Yanga katika hatua ya matuta na kuwapa tiketi watoza ushuru wa...

mirungi.

11Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kufuatia hali hiyo, Rosemary, amezikemea serikali za vijiji vya maeneo hayo kwa kufumbia macho shughuli hizo, huku akiagiza polisi wilayani humo kuwatia mbaroni wakulima wa zao hilo ambao hukimbilia...
11Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika hali ambayo ni ya kawaida, mwili hutoa jasho baada ya mtu kufanya shughuli fulani inayolifanya joto lake lipande na ili kuliweka katika kiwango cha kawaida, mtu atatokwa na jasho, au...
11Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na hatua hiyo, hospitali nchini humo zimepewa angalizo kama kuna mwanamume atafika kwa matibabu akiwa amejeruhiwa sehemu za siri na kwamba akipatikana asikamatwe. Aidha, polisi...

Pages