NIPASHE

10Feb 2016
Mhariri
Nipashe
SABABU kubwa ambayo imekuwa ikitolewa kwa miaka mingi na Mahakama ya Tanzania kuwa ni kikwazo cha kutokamilisha mashauri kwa wakati, ni ufinyu wa bajeti. Mahakama imekuwa ikilalamikia miundombinu...
10Feb 2016
Nipashe
Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Shaib Nnunduma, alisema kwa sasa uongozi wa halmashauri hiyo unakamilisha taratibu za kisheria ili kuwafikisha watumishi hao mahakamani, akiwamo mganga mfawidhi,...
10Feb 2016
Nipashe
Dar es Salaam, Monday February 9, 2016: Hatimaye Alikiba ametoa wimbo wake “Lupela” uliokuwa ukisubiriwa na mashabiki wake Afrika Mashariki kwa wiki kadhaa sasa. Wimbo huo ni sehemu ya kampeni ya...

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe.

10Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza jijini Arusha jana wakati akifungua mkutano wa pili wa wanasheria wa Afrika ulioandaliwa na mahakama hiyo, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe, alisema mahakama hiyo...
10Feb 2016
Nipashe
Mkuregenzi Mtendaji wa Wild Frontiers, ambaye ndio muandaaji wa mbio hizo, John Addison alisema usajili wa mwaka huu umeongezeka kutokana na kuongezeka kwa mitandao ya kijamii hivi kurahisisha...
10Feb 2016
Lulu George
Nipashe
“Tunaiomba serikali iingilie kati jambo hili, kama mzazi anakataa hata kununua sare za shule kwa mtoto wake sisi walimu inatuweka mahali pagumu…”
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti mjini hapa mwishoni mwa wiki, baadhi ya walimu walisema hali hiyo imekuwa ikiwapa wakati mgumu, huku baadhi ya wanafunzi wakitaka kuhudhuria masomo bila...
10Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Niyonzima alisema wachezaji wote wanajituma kwenye mazoezi na juhudi inaonekana, lakini uamuzi wa mwisho ni kocha. "Kocha ndiye anayeamua nani aanze kucheza na nani afuate, au nani asicheze siku...
10Feb 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Akizungumza katika Baraza la Ushauri la wilaya hiyo, mkuu huyo wa wilaya alisema kwa kawaida simba anapozeeka uwezo wake wa kuwinda wanyama wengine unapungua na wakati mwingine hukimbilia katika...
10Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Yanga inashuka dimbani mwishoni mwa wiki hii kucheza mechi ya kwanza ya michuano hiyo yenye hadhi kubwa katika ngazi ya klabu. Katika kukwepa hujuma, klabu hiyo haitafikia hotelini, badala yake...

Picha ya maktaba

10Feb 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe
Jengo hilo linadaiwa kujengwa na mmoja wa makandarasi wa wilayani hapa, Hamisi Mombasa, kwa michango ya fedha za wananchi pamoja na fedha za serikali kuu. Diwani Kata ya Kining'inila, Elisha...
10Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Yondani, beki wa zamani wa Simba, alilimwa kadi nyekundu na refa Andrew Shamba baada ya kupigana na daktari wa Coastal katika dakika ya 90+9 ya mechi ya raundi ya 16 ambayo Wanajangwani walilala 2-...
10Feb 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Akihubiri katika ibada maalumu ya kukabidhi vifaa vya muziki katika kanisa la Moravian wilayani Nkasi, Askofu Nguvumali alisema vijana wengi miaka hii wanataka mafanikio ya maisha pasipo kutafuta...
10Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Tangu Mwingereza Stewart Hall arejeshwe Chamazi kwa mara ya pili msimu uliopita, mabingwa hao wa msimu wa 2013/14 wamekuwa wakitumia mfumo wa 3-5-2 uliowapa taji la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na...
10Feb 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Malecela aliyasema hayo jana alipohojiwa kuhusu siku 100 za utendaji wa Dk. Magufuli tangu aapishwe Novemba 5, mwaka jana, kuwa rais wa awamu ya tano. Alisema Rais magufuli ameanza kwa kasi...
10Feb 2016
Nipashe
Mabondia kutoka mikoa mbalimbali wanaendelea kuchuana katika Mashindano ya Taifa kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Dar es Salaam na tayari yameingia hatua ya robo fainali. Hadi sasa hakuna...
10Feb 2016
Nipashe
“Vijana wananipa matumaini makubwa na sasa ninaweza nikasema tuna matumaini ya kubaki kwenye ligi msimu ujao,” alisema Aluko. Aluko alisema walikuwa kwenye wakati mgumu mzunguko wa kwanza...
10Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Januari Mosi, mwaka huu, akitoa salamu za mwaka mpya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Monduli, Lowassa alisema amepokea malalamiko ya kuwapo kwa uonevu na vitisho...
10Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mramba na Yona, walihukumiwa kutumikia adhabu hiyo Februari 5, mwaka huu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya na kupeleka barua ya kuomba kutumikia kifungo cha nje kupitia wakili wao,...
09Feb 2016
Nipashe
Wakati wa mazungumzo Balozi mteule wa DRC, Jean Pierre Tshampanga Mutamba, Waziri alimweleza kuwa katika mambo yanayoleta ukaribu na ushirikiano kati ya Tanzanzia na nchi yake lugha ya Kiswahili...
09Feb 2016
Nipashe
Nafasi hizo ziliachwa wazi kutokana sababu mbalimbali, zikiwamo vifo na baadhi ya viongozi kuhama chama na kujiunga na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Katibu wa NEC wa...

Pages