NIPASHE

Shaaban Chilunda.

13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Chilunda, alifunga goli hilo muhimu kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Singida United na kuweka hai matumaini ya kulitetea kombe hilo.Akizungumza na Nipashe mara baada ya mazoezi yao ya jana,...
13Jan 2018
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa juzi na mtaalamu wa vipimo hivyo katika hospitali hiyo, Mathias Msengi, akiongeza kuwa vifaa hivyo vimeharibika kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa na kulazimika kuazima mashine ya Ultra-...
13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalibainishwa juzi na Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji Wanawake (Tawoma), Yunus Negele, wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika mjini Morogoro. Mkutano huo ulifunguliwa na...

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Alhaj Majid Mwanga.

13Jan 2018
Robert Temaliwa
Nipashe
Wito huo kwa wawekezaji hao ulitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Alhaj Majid Mwanga, wakati wa ziara yake aliyoifanya kutembelea viwanda vilivyojengwa  katika  kata ya...
13Jan 2018
Rose Jacob
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi, alisema mbali na Nyabange, watuhumiwa wengine ni Alex Josephat (41) mfanyabiashara na mkazi wa mtaa wa Buswelu, Juma Malulu (60) mkazi wa mtaa wa...

MWENYEKITI wa Taifa wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema.

13Jan 2018
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam baada ya kutoka kufungua kesi katika kituo cha polisi cha Oysterbay, Mrema alisema alikwenda kutoa taarifa kwenye Mamlaka ya...
13Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Jumamosi iliyopita, Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), alisafiri kwenda Brussels, Ubelgiji kwa matibabu zaidi akitokea nchini Kenya alikokuwa amelazwa kwa takribani...
13Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Methali hii yathibitisha walivyo mashabiki wa Simba na Yanga. Ingawa waitwa ‘watani wa jadi’ kwa watu hawa ‘utani’ ni kuombeana mabaya ili wapate kuzomeana. Maana ya ‘...

Mbunge wa Jimbo la Muheza, Balozi Adadi Rajab.

13Jan 2018
Steven William
Nipashe
Kuwekwa kwa kituo hicho kutawawezesha wafanyabiashara wanaopitishia mizigo yao eneo hilo kulipa kodi yaserikali bila usumbufu.Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani la halmashauri ya ...
13Jan 2018
Mhariri
Nipashe
Azam na URA zote zimefika hatua hiyo zikitokea Kundi B lililokuwa likiundwa pamoja na timu ya Mwenge FC na Jamhuri, hivyo ni timu zinazojuana vizuri kimchezo.Kwa upande wa Azam imetinga fainali kwa...

KOCHA wa Azam FC Aristica Cioab.

13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*** Makosa ya timu hizo dhidi ya URA kuwasaidia kutwaa ubingwa wa Kombe la mapinduzi leo…
Azam inaikabili URA kwenye mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Amaan mjini hapa kuanzia saa 2:15 usiku.URA iliziondoa kwenye michuano hiyo klabu za Simba na Yanga zilipokutana nazo kwenye hatua ya...

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya ufundi, Prof. Joyce Ndalichako.

13Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Shule zisizokuwa za serikali, zikiwamo za watu binafsi na pia baadhi zinazomilikiwa na taasisi za kidini, zinatajwa kuwa ndizo huwa na utaratibu huo wa kujiwekea wastani wa alama za ufaulu...

Mv Dubai Energy.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Kitendo cha Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Leonard Magomba, alisema jana kuwa kupokewa kwa shehena hiyo kunadhihirisha bandari hiyo inao uwezo wa kuhudumia shehena ya pet coke na...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dkt. Shein ametoa nishani hizo kwa mtu ambae aliasisi, alishiriki na kutukuza pamoja na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1964.Pamoja na hayo Dk. Shein amewataka wananchi wa Zanzibar...

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustine Mrema akitoka kituo cha polisi.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mrema amedai waliozusha taarifa hizo walitaka wananchi wasisikilize mazungumzo aliyofanya Rais Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa badala yake wajadili kifo chake."Lengo lao lilikuwa...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akihamasisha vijana wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar, akiwa pamoja na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Maudline Cyrus Castico (kulia kwake), uliofanyika kwenye mjini Zanzibar juzi. PICHA: OMR

12Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar, Samia alisema  kuna faida nyingi zinazopatikana katika mabaraza ya vijana hivyo ni vyema kwa vijana kujiunga.Alisema vijana ndio...

Makamu Mwenyekiti wa Twea, Fatuma Hamisi.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ombi hilo limetolewa baada ya Marchi 17 mwaka  2016 aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe, kuzuia biashara ya kusafirisha viumbepori nje ya nchi kufuatia kukamata...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, William Mwakilema, amewaambia wajumbe wa kikao cha kawada cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Mara kuwa idadi hiyo kubwa ya mifugo imekamatwa ikingizwa...

Rais wa Rwanda  Paul Kagame.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makonda amesema hayo leo akiwa katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam baada ya kuagana na Rais John Magufuli ambaye ameelekea visiwani Zanzibar kushiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya...

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, wakati wa kikao cha wadau wa elimu wa halmashauri za wilaya za vijijini na mjini za wilaya hiyo kilichoandaliwa na ofisi yake kwa...

Pages