NIPASHE

Mbunge wa Jimbo la Muheza, Balozi Adadi Rajab.

13Jan 2018
Steven William
Nipashe
Kuwekwa kwa kituo hicho kutawawezesha wafanyabiashara wanaopitishia mizigo yao eneo hilo kulipa kodi yaserikali bila usumbufu.Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani la halmashauri ya ...
13Jan 2018
Mhariri
Nipashe
Azam na URA zote zimefika hatua hiyo zikitokea Kundi B lililokuwa likiundwa pamoja na timu ya Mwenge FC na Jamhuri, hivyo ni timu zinazojuana vizuri kimchezo.Kwa upande wa Azam imetinga fainali kwa...

KOCHA wa Azam FC Aristica Cioab.

13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*** Makosa ya timu hizo dhidi ya URA kuwasaidia kutwaa ubingwa wa Kombe la mapinduzi leo…
Azam inaikabili URA kwenye mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Amaan mjini hapa kuanzia saa 2:15 usiku.URA iliziondoa kwenye michuano hiyo klabu za Simba na Yanga zilipokutana nazo kwenye hatua ya...

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya ufundi, Prof. Joyce Ndalichako.

13Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Shule zisizokuwa za serikali, zikiwamo za watu binafsi na pia baadhi zinazomilikiwa na taasisi za kidini, zinatajwa kuwa ndizo huwa na utaratibu huo wa kujiwekea wastani wa alama za ufaulu...

Mv Dubai Energy.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Kitendo cha Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Leonard Magomba, alisema jana kuwa kupokewa kwa shehena hiyo kunadhihirisha bandari hiyo inao uwezo wa kuhudumia shehena ya pet coke na...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dkt. Shein ametoa nishani hizo kwa mtu ambae aliasisi, alishiriki na kutukuza pamoja na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1964.Pamoja na hayo Dk. Shein amewataka wananchi wa Zanzibar...

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustine Mrema akitoka kituo cha polisi.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mrema amedai waliozusha taarifa hizo walitaka wananchi wasisikilize mazungumzo aliyofanya Rais Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa badala yake wajadili kifo chake."Lengo lao lilikuwa...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akihamasisha vijana wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar, akiwa pamoja na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Maudline Cyrus Castico (kulia kwake), uliofanyika kwenye mjini Zanzibar juzi. PICHA: OMR

12Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar, Samia alisema  kuna faida nyingi zinazopatikana katika mabaraza ya vijana hivyo ni vyema kwa vijana kujiunga.Alisema vijana ndio...

Makamu Mwenyekiti wa Twea, Fatuma Hamisi.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ombi hilo limetolewa baada ya Marchi 17 mwaka  2016 aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe, kuzuia biashara ya kusafirisha viumbepori nje ya nchi kufuatia kukamata...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, William Mwakilema, amewaambia wajumbe wa kikao cha kawada cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Mara kuwa idadi hiyo kubwa ya mifugo imekamatwa ikingizwa...

Rais wa Rwanda  Paul Kagame.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makonda amesema hayo leo akiwa katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam baada ya kuagana na Rais John Magufuli ambaye ameelekea visiwani Zanzibar kushiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya...

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, wakati wa kikao cha wadau wa elimu wa halmashauri za wilaya za vijijini na mjini za wilaya hiyo kilichoandaliwa na ofisi yake kwa...

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,  Elias Kwandikwa.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya wizara hiyo ilimkariri Kwandikwa akitoa agizo hilo wakati akizungumza baada ya kukagua maegesho ya kivuko hicho ambacho alisema kinatarajiwa kutoa huduma za usafiri kutoka Lindi Mjini-...
12Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Jeshi hilo pia lina jukumu la kutoa huduma kwa jamii katika nyanja mbalimbali, zikiwamo kuokoa maisha ya watu na mali zao, kuzima moto, kutoa elimu ya kinga na tahadhari ya majanga moto na kufanya...

 WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa.

12Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Akifungua tamasha la nne la biashara Zanzibar, alisema  ndio maana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kupunguza tatizo la ajira kwa kukaribisha wawekezaji nchini katika sekta ya...

Eng.Dkt. Leonard Chamuriho, akitoa maelekezo kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Huduma za Meli (MSCL), Eric Hamisi (wa pili kutoka kushoto).

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kaimu Meneja Mkuu  wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Eric Hamissi, alisema jana mbele ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Atashanta Nditiye, kuwa mkataba wa utengenezaji wa meli...
12Jan 2018
Mhariri
Nipashe
Kitu kikubwa cha kujifunza ni kwamba wakati huu wa kuwahudumia wananchi, kuwaondolea kero, kufanyakazi kwa bidii na kusukuma maendeleo kwa kasi kubwa lazima viongozi na watendaji waache tabia ya...

Kocha wa Singida United, Mholanzi Hans van der Pluijm.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Singida United ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Azam FC, katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi iliyopigwa Uwanja wa Amaan juzi usiku, hivyo kuungana na Yanga na Simba ambazo nazo...
12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema uvuvi haramu unaoendelea katika mwambao huo, unahatarisha maendeleo ya viwanda vya samaki vilivyopo na hatimae kudhoofisha ajira za wananchi walioko karibu na viwanda hivyo, hivyo kukwamisha...

MSHAMBULIAJI wa Mbao FC, Habib Kiyombo.

12Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiyombo ambaye katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu kabla haijasimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, aliifunga Yanga mabao mawili na kuipa ushindi timu yake ya bao 2-0 dhidi ya mabingwa hao...

Pages