NIPASHE

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), wakipita mbele ya jukwaa kuu katika maandamano ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA: IKULU

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Sherehe hizo zilianza saa moja na kumalizika saa tano asubuhi kwa maandamano na gwaride maalumu la vikosi vya ulinzi na usalama na baadae Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia wananchi....
13Jan 2018
John Juma
Nipashe
Na kwa upande mwingine  baadhi ya sheria za nchi nazo zinachangia uvunjaji wa haki za wanawake mfano kwa Tanzania Sheria ya Ndoa ya 1971 na nyingine za  mirathi zina vifungu ambavyo...
13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa bajaji hiyo, Tiragana, alisema kuwa hakutegemea kushinda bajaji hiyo na amewashukuru Sportpesa kwa kuanzisha promosheni hiyo.“Nilianza kucheza na Sportpesa...

MAWASILIANO.

13Jan 2018
Kelvin Mwita
Nipashe
*Misingi 10 ya kuzingatia katika kuwasiliana mahali pa kazi..
Taasisi imara na madhubuti inajengwa kwenye misingi imara ya mawasiliano. Hii inajumuisha mawasiliano kati ya mtu mmoja na mwingine na mawasiliano ndani ya kikundi; iwe idara, kikosi ...
13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Licha ya mafanikio na jitihada za HELSB  kuongeza makusanyo kutoka kwa wanufaika wa mikopo hiyo, bado bodi ina kazi ya kuwasaka waliokopeshwa ili kurejesha mikopo  na  kuongeza kasi ya...
13Jan 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Ukinunua ardhi angalia ilipo usiende mabondeni utasombwa na mafuriko. Chukua tena angalia usibambikiwe kwenye mikondo ya maji nako utaumbuka. Pia ukinunua kiwanja angalia aina ya ardhi kama ni...
13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Badala yake, serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, imesema inakusudia kuimarisha zaidi minada yote ya mipakani ili kutoa huduma bora za mifugo na mazao  itakayowezesha kuongeza ukusanyaji...

Ali Bashir akiwa chuoni Mwanakwerekwe akisuka vifaa vya kompyuta kwenye fani ya elektroniki. PICHA: RAHMA SULEIMAN.

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Mfumo huo unafunza stadi mbalimbali zinazochochea upatikanaji wa kazi na kukuza kiwango cha uwezo wa vijana kuajiriwa au kujiajiri. Mafunzo ya amali kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la...

Wanawake wa kikundi cha wajasiliamali cha Mtazama Women Group, wakiwaonyesha wanahabari ghala wanalotumia kuhifadhia chumvi.

13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni ajabu na kweli ya wajasiriamali wa Kilwa,bidhaa  zakosa wateja
Akiwa ndani ya utajiri wa madini ya chumvi, anaumia kwa kuwa anageuka maskini anayezungukwa na rasilimali muhimu inayotumiwa na karibu kila mwanadamu.Masahibu ya Hawa ni matatizo yanayowakabili...

Mkuu wa Wilaya ya Igunga, John Mwaipopo.

13Jan 2018
Jumbe Ismaily
Nipashe
Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elimajidi Kweyamba, alidai mahakamani hapo kwamba mshitakiwa, alitenda kosa hilo Januari 09, mwaka huu, saa 1:05 usiku katika maeneo ya barabara kuu ya lami ya Igunga...

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akipungia mkono wananchi, wakati akiwasili katika uwanja wa Abeid Amani Karume mjini Unguja jana, katika sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA: IKULU

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahaya Mzee, ilieleza kuwa kwa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 59 cha Katiba ya Zanzibar...
13Jan 2018
Renatha Msungu
Nipashe
 Katika kikao chao mbele ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Josephat Hasunga,  wafanyabiashara hao walisema kwa sasa Tanzania ina tozo 32 na zote zinaingia kwa mlaji wa mwisho....

Shaaban Chilunda.

13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Chilunda, alifunga goli hilo muhimu kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Singida United na kuweka hai matumaini ya kulitetea kombe hilo.Akizungumza na Nipashe mara baada ya mazoezi yao ya jana,...
13Jan 2018
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa juzi na mtaalamu wa vipimo hivyo katika hospitali hiyo, Mathias Msengi, akiongeza kuwa vifaa hivyo vimeharibika kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa na kulazimika kuazima mashine ya Ultra-...
13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalibainishwa juzi na Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji Wanawake (Tawoma), Yunus Negele, wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika mjini Morogoro. Mkutano huo ulifunguliwa na...

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Alhaj Majid Mwanga.

13Jan 2018
Robert Temaliwa
Nipashe
Wito huo kwa wawekezaji hao ulitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Alhaj Majid Mwanga, wakati wa ziara yake aliyoifanya kutembelea viwanda vilivyojengwa  katika  kata ya...
13Jan 2018
Rose Jacob
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi, alisema mbali na Nyabange, watuhumiwa wengine ni Alex Josephat (41) mfanyabiashara na mkazi wa mtaa wa Buswelu, Juma Malulu (60) mkazi wa mtaa wa...

MWENYEKITI wa Taifa wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema.

13Jan 2018
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam baada ya kutoka kufungua kesi katika kituo cha polisi cha Oysterbay, Mrema alisema alikwenda kutoa taarifa kwenye Mamlaka ya...
13Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Jumamosi iliyopita, Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), alisafiri kwenda Brussels, Ubelgiji kwa matibabu zaidi akitokea nchini Kenya alikokuwa amelazwa kwa takribani...
13Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Methali hii yathibitisha walivyo mashabiki wa Simba na Yanga. Ingawa waitwa ‘watani wa jadi’ kwa watu hawa ‘utani’ ni kuombeana mabaya ili wapate kuzomeana. Maana ya ‘...

Pages