NIPASHE

mkuu wa wilaya ali Hapi akizungumza mbele ya wananchi alipotembelea maeneo korofi ambayo chemba za maji taka hufumuka mara kwa mara eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam.

16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumza wakati wa ziara yakukagua maeneo yenye changamoto za majitaka na mradi wa uboreshaji wa huduma za maji taka ili kujionea hatua iliyofikiwa na DAWASA katika kutekeleza miradi hiyo Mhe....
16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Ufundi wa DAWASA, Modester Mushi wakati akitoa taarifa ya ujenzi wa mitambo hiyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni jijini Dar es Salaam, Ali Hapi, wakati...

Kamanda Polisi wa Mkoa wa Arusha, Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo.

16Jan 2018
Rashid Nchimbi, Jeshi la Polisi Arusha
Nipashe
Yakusanya bilioni 3.8 kutokana na faini za makosa ya barabarani
Ambapo kulikuwa na matukio 2,817 wakati  mwaka 2017 kulikuwa na matukio 1,963 ikiwa ni upungufu ya matukio 854, huku matukio ya uvunjaji yakipungua toka 604 hadi 294 ikiwa ni zaidi ya mara mbili...
16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, jeshi hilo limesema jambazi mmoja ambaye alikuwa akiteka watu minadani ameuawa baada ya mapambano na polisi.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Augustino Senga aliwaambia waandishi wa habari...

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Mahenge alikuwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya elimu na kilimo katika wilaya hiyo ambapo baada ya kusomewa taarifa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Sezaria Makota, alipelekwa kuangalia vitalu vya...

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meya huyo alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza katika mkutano na madiwani wa Manispaa ya Dodoma jana, kujadili umuhimu wa watu wenye ulemavu kujumuishwa katika mipango ya maendeleo na bajeti za...

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Mratibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wakipelekwa mahabusu.

16Jan 2018
Gerald Kitalima
Nipashe
amanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Mohammed Mpinga akiongea na www.eatv.tv amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa Mbunge huyo leo alipelekwa mahakamani kwa kosa hilo na mahakama imemnyima...
16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Kheir alisema kuwa baadhi ya wanajamii wamejenga dhana kuwa ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali imekuwa ikibadilisha matokeo baada ya kufanya uchunguzi jambo ambalo sio sahihi....

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkutano huo ulipangwa kufanyika leo Januari 16, 2018.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na OCD inasema kuwa Zitto hakufuata utaratibu wa kutoa taarifa ndani ya masaa 48 kabla ya kufanyika...

waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwigaje.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa jukwaa hilo, Abdallah Mohammed juzi alisema kuwa mkakati wao kwa sasa ni kujenga vitega uchumi vitakavyoongeza ajira kwa vijana ili kupunguza utegemezi.Mohammed alikuwa akizungumza...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

16Jan 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Valerian Juwal alisema kiwango hicho kimeifanya wilaya ya Siha kuwa miongoni mwa halmashauri zilizofanya vizuri katika usimamiaji wa zoezi zima la utoaji...

igp simion sirro.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tuliona kinachohitajika kwa dereva anayetaka kuomba kubadilisha leseni kwa kubadili daraja moja kwenda lingine.Kwamba Mwombaji anayetaka kubadili daraja moja kwenda daraja lingine atatakiwa kuwa na;...

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndungulile.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndungulile, aliyasema hayo alipotembelea Kituo cha Afya Nkomolo,  Nkasi mkoani Rukwa, ikiwa ni mwendelezo wa ziara...

Vyura wa Kihansi

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakiwa katika ziara iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais wiki iliyopita, wabunge hao kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira, walisema vyura hao wanagusa maisha ya watu...

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro (kulia) na Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Msumbiji, Bernardino Rafael, wakipongezana.

16Jan 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Maeneo ya ushirikiano yaliyokubaliwa jana ni katika makosa ya ugaidi, udhibiti wa dawa za kulevya, utakatishaji fedha na makosa mengine.Tanzania imepakana na Msumbiji kwa upande wa kusini, na...

waziri Dk. Hamis Kigwangalla na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Mwigulu Nchemba wamefanya ukaguzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA),

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Changamoto hizo ni pamoja na msongamano na joto katika eneo la kuchukulia mizigo, muda mrefu wa upatikanaji wa hati za kusafiria kwa wageni wanaoingia nchini pamoja na changamoto ya ufinyu wa eneo la...

RAIS John Magufuli.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika taarifa yake kwa umma, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abasi, alisema: "Mheshimiwa Rais Magufuli amenijulisha, kupitia taarifa hii...

mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Chirwa, amefungiwa idadi hiyo ya michezo baada ya kikao cha kamati ya nidhamu ya TFF ambayo ilimkuta na hatia ya kumpiga mchezaji wa Tanzania Prisons wakati wa mchezo wa ligi kuu Novemba 25.Chirwa...

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu SUA, Prof. Raphael Chibunda.

16Jan 2018
Christina Haule
Nipashe
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu SUA, Prof. Raphael Chibunda alisema hayo jana wakati akiwapokea wafanyakazi hao chuoni hapo.Prof. Chibunda alimshkuru Rais John Magufuli kwa kutoa kibali cha kujaza nafasi...

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shegela.

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mussa Semdoe aliyasema hayo wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shegela alipotembelea wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo mwishoni mwa wiki...

Pages